Halmashauri ya NTSA yashauri wadau wawe waangalifu barabarani

  • | KBC Video
    78 views

    Halmashauri ya uchukuzi na usalama barabarani inawashauri wakenya wote wanaotumia barabara kulipa kipaumbele suala la usalama wa watoto kabla ya kuanza kwa kalenda ya masomo ya mwaka huu. Tahadhari hiyo inajiri huku kukiibuka wasiwasi kuhusiana na ukiukwaji ovyo wa kanuni za trafiki wakati wa operesheni ya usalama barabarani inayotekelezwa na maafisa wa halmashauri hiyo. NTSA imesema kila mmoja atalazimika kuchangia katika kuzuia visa vya ajali na kulinda maisha.

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #kbcchannel1 #news #kbclive