Halmashauri ya Uchukuzi Afrika Mashariki yatatua mzozo wa shehena katika bandari ya Mombasa

  • | Citizen TV
    306 views

    Serikali ya Sudan Kusini imekana madai kuwa inataka kukusanya ushuru katika Bandari ya mombasa kupitia shehena inayoingia nchini ikielekea nchini humo. Kamishna wa halmashauri ya ukusanyaji ushuru Sudan Kusini Simon Akuei Deng Garang amesema kuwa mfumo mpya unalenga kudhibiti wizi wa shehena miongoni mwa mataifa ya Afrika Mashariki.