Hamas watoa kanda ya video walioihariri ikidai kumekuwa na mapigano mitaani
Kitengo cha kijeshi cha kikundi cha wanamgambo wa Palestina Hamas kimetoa Jumatatu (Januari 29) video iliyohaririwa inayoonyesha mapigano katika mitaa ya Khan Younis huko Gaza.
Kanda hiyo inawaonyesha wapiganaji wakiwa wamebeba mifumo ya kubebea silaha begani na kufyatua dhidi ya vifaru vya kivita. Reuters haikuweza yenyewe kuthibitisha eneo au tarehe ambayo video hiyo ilichukuliwa.
Mapema Jumatatu, jeshi la Israeli lilisema wanajeshi wake waliwaua darzeni ya Wapalestina wenye silaha kote Ukanda wa Gaza ndani ya saa 24 zilizopita, wakiwemo wanne waliokuwa wameonekana wakijiandaa kuwashambulia wanajeshi waliokuwa karibu na hospitali ya Al- Amal huko kusini mwa Khan Younis.
Kitengo cha kijeshi cha Hamas na kikundi cha Islamic Jihad vilisema wapiganaji wake walipambana na wanajeshi wa Israeli katika maeneo kadhaa katika eneo finyu usiku kucha. Kitengo cha kijeshi cha Hamas kilisema wapiganaji wake wameangamiza vifaru viwili vya Israeli huko Khan Younis.
Shambulizi lililofanywa na Hamas Oktoba 7 kwa kuvuka Gaza na kuingia kusini mwa Israel lilisababisha vita na waliwauwa kiasi cha watu 1,200.
Maafisa wa afya wa Palestina walisema watu wasiopungua 26,000 wakazi wa Gaza wameuawa katika vita hivyo. - Reuters
#Haifa #waelaldahdouh #hamzaaldahdouh #shirikalamwezimwekundu
#Rafah #Netanyahu #Misri #Hamas #Gaza #Palestina #IDF #GalMeirEizenkot #mauaji #jeshi #israel #voa #voaswahili #mwandishi #aljazeera #maghazi #khanyounis
29 Nov 2024
- The discovery comes as the government seeks to raise the number of tourists visiting the country to 10 million annually by 2027.
29 Nov 2024
- The update comes following Gachagua's attack in Limuru, Kiambu County.
29 Nov 2024
- The move comes days after Musalia Mudavadi's recent directive.
29 Nov 2024
- Daniel Wanyeki Gachoka, 59, who had been serving a life sentence for defiling his two underage daughters, was granted his freedom last week after the Kiambu High Court ruled that he had been wrongfully convicted.
29 Nov 2024
- President William Ruto is expected to travel to Arusha, Tanzania later today to attend the 24th Ordinary Summit of the East African Heads of State.
29 Nov 2024
- The Nakuru County Government is on the spot over allegations of exhuming bodies from the Nakuru South Cemetery to create space for more bodies to be buried at the grounds.
29 Nov 2024
- The discovery comes as the government seeks to raise the number of tourists visiting the country to 10 million annually by 2027.
29 Nov 2024
- The number of mpox cases will continue to rise during the next four weeks before starting to show signs of flattening early next year
29 Nov 2024
- The update comes following Gachagua's attack in Limuru, Kiambu County.
29 Nov 2024
- Embrace e-citizen or quit, President Ruto warns parastatal bosses
29 Nov 2024
- From the pulpit to beer halls, it's a crisis of faith as graft takes firm root
29 Nov 2024
- Former Elgeyo Marakwet County official to lose Sh80m property following court ruling
29 Nov 2024
- ODM dismisses reports of coercion to vote by consensus