Hamasisho dhidi ya ukeketaji yafanyika Kuria

  • | Citizen TV
    109 views

    Washikadau wanaopinga ukeketaji wamewahimiza wazazi katika Maeneo ya kuria kaunti ya Migori, kuchukua jukumu la uhamasisho miongoni mwa wasichana kuhusu madhara ya ukeketaji ili kukomesha ukatili huo.