Hamasisho ya KUCCPS

  • | Citizen TV
    100 views

    Mamia ya wanafunzi waliokamilisha masomo ya kidato cha nne mwaka jana kaunti ya Mombasa walikongamana katika taasisi ya kiufundi ya Pwani kwa mafunzo kuhusu jinsi ya kujisajili katika vyuo vikuu na vyuo Anuai.