Harambee Stars kuanza maandalizi ya kombe la CHAN baada ya kutemwa Mapinduzi Cup

  • | NTV Video
    119 views

    Harambee Stars itaanza maandalizi ya kuwania kombe la CHAN ambalo litafanyika kanda ya Afrika Mashariki yaani Kenya, Uganda na Tanzania kati ya Februari mosi na 28 mwaka huu baada ya kutemwa nje ya kombe la Mapinduzi nchini Tanzania.

    Subscribe and watch NTV Kenya live for latest Kenyan news today and everyday as told by Kenyans. Get the Kenya news updates, discussions and other exciting shows.

    Website: https://www.ntvkenya.co.ke || Paper: Daily Nation || Twitter: @ntvkenya || Facebook: NTV Kenya || Instagram: NTV Kenya