Hasara ya mvua

  • | Citizen TV
    958 views

    Watu wanne wamenusurika kifo kijijni shirandala eneo bunge la butula kaunti ya busia baada ya mti mkubwa uliokuwa karibu na jumba walimokua wamejikinga mvua kung'ooka na kuangukia jumba hilo.