"Hatuwezi kulazimisha Wakenya wapende muziki wao,

  • | BBC Swahili
    867 views
    Waziri wa michezo na sanaa nchini Kenya Kipchumba Murkomen amewataka wanamuziki nchini Kenya kuacha kulalamika na badala yake wajitume na kufanya kazi bora ili kazi zao zithaminiwe. Amesema hayo kufuatia malumbamo ya wasanii wa Kenya dhidi ya watanzania huku wakenya wakilalamika kudharauliwa #bbcswahili #kenya #tanzania Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw