"Hayupo tena na sisi, najua atakuwa na furaha kwa Mungu."

  • | BBC Swahili
    1,002 views
    Baada ya jengo la shule la ghorofa mbili kuporomoka katika jimbo la Plateau nchini Nigeria, familia ya Onovo imeongea na BBC na kuelezea majonzi yao ya kumpoteza mtoto wao wa kiume mwenye umri wa miaka 16 katika tukio hilo. #bbcswahili #nigeria #plateau Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw