Hazina ya ng-CDF:Juhudi za kuwianisha hazina ya katiba zinaendelea

  • | KBC Video
    9 views

    Mbunge waElisha Odhiambo ametoa wito kwa umma kusaidia wabunge katika jitihada zao wa kulinda hazina ya kitaifa ya ustawishaji maeneobunge ambayo hivi majuzi iliharamishwa na mahakama. Akiongea wakati wa utoaji hundi za masomo za hazina kwa zaidi ya wanafunzi-31 wa shule za upili, viongozi katika eneo hilo walisema bunge la taifa linarartibu sheria ambayo itawianishwa na hazina ya CDF kwenye katiba. Alisema kuwa baraza la magavana litashauriana na msimamizi wa bajeti kutatua mzozo kuhusu mpango wa ufadhili wa masomo.

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #kbcchannel1 #news #kbclive