Hebu fikiria kuwa msaidizi wa nyumbani kwa muda wa miaka 50.

  • | NTV Video
    529 views

    Hebu fikiria kuwa msaidizi wa nyumbani kwa muda wa miaka 50. Huenda kisa cha Victoria Meme kikaajabia wasaidizi wa kizazi cha sasa lakini ajuza huyu wa umri wa miaka 73 atakupa siri ya kufanya kazi nyumbani kwa mwandishi nguli wa vitabu David Mailu kwa miongo mitano sasa bila kujuta. Makala yanayotoa mtazamo tofauti kwa wafanyakazi wa nyumbani

    Subscribe and watch NTV Kenya live for latest Kenyan news today and everyday as told by Kenyans. Get the Kenya news updates, discussions and other exciting shows.

    Website: https://www.ntvkenya.co.ke || Paper: Daily Nation || Twitter: @ntvkenya || Facebook: NTV Kenya || Instagram: NTV Kenya