Helikopta ya Jeshi ikishambulia eneo nje ya Rafah

  • | VOA Swahili
    437 views
    Helikopta ya kijeshi ilionekana ikifanya mashambulizi katika eneo nje ya Rafah huko kusini mwa Gaza Jumatano (May 8) Utawala wa Rais wa Marekani Joe Biden umesitisha usafirishaji wa silaha kwenda Israel wiki iliyopita ikiwa ni hatua ya kupinga harakati za Israel kuivamia Rafah, afisa muandamizi wa ngazi ya juu alisema Jumanne (May 7). - Reuters ⁣⁣⁣ #Haifa ⁣⁣⁣⁣⁣#waelaldahdouh #hamzaaldahdouh #shirikalamwezimwekundu⁣⁣⁣⁣⁣⁣⁣⁣⁣⁣⁣⁣⁣ #Rafah #Netanyahu #Misri #Hamas #Gaza #Palestina #IDF #GalMeirEizenkot #mauaji #jeshi #israel #voa #voaswahili #mwandishi #aljazeera #maghazi #wahouthi #marekani #uingereza #shambulizi #dhamar #yemen #iran #helikopta #shambulizi