Henok wa Eritrea ameshinda ya uendeshaji baiskeli barani Afrika

  • | Citizen TV
    262 views

    Henok Muluebehran aliendeleza ubabe katika uendeshaji baiskeli barani Afrika akinyakuwa ubingwa upande wa wanaume kwenye mashindano ya afrika yaliokamilika hii leo nchini.