Hisia zatanda Wundanyi huku waliopoteza watoto wao kwenye ajali ya barabara wakitambua miili

  • | Citizen TV
    741 views

    Hisia zilitanda katika hospitali ya rufaa ya Moi, mjini Voi kaunti ya Taita Taveta pale jamaa waliowapoteza wapendwa wao kwenye ajali ya barabarani ya hapo jana walifika. Watu sita wakiwemo wanafunzi wanne walifariki kwenye ajali hiyo eneo la Wundanyi. Mary Muoki anaarifu kuhusu tukio lililoibua maswali mengi kutoka kwa wazazi