Hoja ya kumbandua kuwasilishwa bungeni Jumanne

  • | Citizen TV
    6,955 views

    Sasa ni rasmi kuwa hoja ya kumtimua ofisini Naibu Rais Rigathi Gachagua itawasilishwa bungeni siku ya jumanne. Kiongozi wa wengi bunge la kitaifa kimani ichungwa amesema kuwa tayari ametia saini hoja hiyo huku gachagua akikabiliwa na mashtaka kadha yanayojumuisha ukiukaji wa katiba na kuwadhalilisha maafisa wa umma.