Hoja ya kumbandua naibu rais Gachagua kujadiliwa katika bunge la seneti

  • | K24 Video
    57 views

    Kesho bunge la seneti litakuwa na kikao muhimu ambapo naibu rais Rigathi Gachagua atakabiliwa na kesi ya kumuondoa mamlakani. Kikao hiki kinatarajiwa kuwajumuisha mashahidi mashuhuri kutoka bunge la kitaifa huku mawakili wa gachagua wakijiandaa kumtetea vikali mteja wao. Kuvunjika kwa mfoa ya Ruto na Gachagua na kikao cha seneti kitakachobadili hali ya siasa nchini.