Hoja ya kumtimua waziri Linturi ofisini yaanza

  • | Citizen TV
    143 views

    Kamati Teule Ya Kujadili Hoja Ya Kumbandua Ofisini Waziri Wa Kilimo Mithika Linturi Imeanza Kusikiza Ushahidi Dhidi Yake. Linturi Alieleza Kuwa Hatawaita Mashahidi Wa Kumtetea Kuhusiana Na Kuwajibika Kwake Kwenye Sakata Ya Mbolea Ghushi.