Hospitali ya Mediheal yakana madai ya biashar ya Figo

  • | Citizen TV
    515 views

    Mwanzilishi wa hospitali ya Mediheal Swarrup Mishra sasa anakana madai kuwa hospitali yake imekuwa ikijihusisha na biashara ya figo. Mishra aliyezungumza jijini Eldoret amekana madai ya kuwepo kwa maajenti waliowatafuta vijana wa kutoa figo waliolipwa na baadhi yao kuachwa na madhara.