Hospitali ya Mediheal yasema iko tayari kwa uchunguzi kuhusu huduma zake za upandikizaji wa figo

  • | KBC Video
    20 views

    Usimamizi wa hospitali ya Mediheal kupitia mawakili wake unasema uko tayari kwa uchunguzi wowote kuhusu huduma zake za upandikizaji wa figo. Akizungumza jijini Nairobi, wakili wa hospitali ya Mediheal Conrad Maloba anasisitiza kuwa taratibu zote zinazofanywa katika hospitali hiyo zimezingatia viwango vya udhibiti na taasisi hiyo iko tayari kuwajibikia matendo yake.

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #kbcchannel1 #news #kbclive