- 329 viewsMakamu Rais wa Marekani atoa hotuba ya kukubali matokeo Makamu Rais wa Marekani na mgombea kwa tiketi ya Demokratik Kamala Harris akitoa hotuba ya kukubali kushindwa na mpinzani wake Mrepublikan na hivi sasa mteule Donald Trump. #voaelections #voaelections2024 - - - - - VOA Swahili inarusha matangazo ya Duniani Leo kupitia Tovuti yetu na jukwaa la Facebook Jumatatu hadi Ijumaa tukikuletea habari mbalimbali za siasa na uchambuzi kwa lugha ya Kiswahili. Tembelea tovuti yetu voaswahili.com/duniani-leo na Makala Maalum ya Jarida la Wikiendi. Sauti ya Amerika - Idhaa ya Kiswahili inawafikia zaidi ya watu milioni 100 wanaotembelea tovuti, mitandao ya kijamii, radio na televisheni zetu. Tunawasilisha maudhui kuhusu Afrika Mashariki na Kati kwa nchi takriban 11 huko Afrika na wale walioko ughaibuni na kwingineko duniani. Vipindi vyetu vimejikita katika maudhui mbalimbali ikiwemo habari, vijana, wanawake, siasa, sayansi, teknolojia, afya, biashara, michezo, muziki na burudani na pia tunawashirikisha wasikilizaji wetu. Matangazo yetu yanasambazwa kupitia satellite, cable, FM na MW, na and kupitia mtandao wa vituo vya matangazo vya washirika wetu takriban 3000. Tangu kuanzishwa mwaka 1942, Sauti ya Amerika imeendelea na azma yake ya kutoa habari za kina na kuwaambia wasikilizaji wake ukweli. Tangu kipindi cha Vita Vya Pili vya Dunia, Vita Baridi, Vita dhidi ya ugaidi wa kimataifa, na juhudi za ukombozi duniani kote hivi leo VOA imekuwa mfano katika kutekeleza kanuni za vyombo vya habari huru. Jiunge na VOA Swahili: » Tembelea Tovuti Yetu: https://bit.ly/3PtyNWc »Angalia Video Zaidi za VOASwahili: https://bit.ly/3TNTiiI »Pakua VOA+ katika vifaa vya Apple : https://bit.ly/VOAPlus »Download VOA+ katika vifaa vya Android https://bit.ly/3KykriI »Tembelea Tovuti yetu: https://www.voaswahili.com/ »Upende ukurasa wetu wa Facebook: https://www.facebook.com/voaswahili »Tufuatilie katika Instagram: https://www.instagram.com/voaswahili »Tufuatilie katika X: https://twitter.com/voaswahili »Tufuatilie katika YouTube: https://www.youtube.com/@VOASwahili
Hotuba ya Makamu Rais yakukubali matokeo (Kiingereza)
- 7 Nov 2024 - Thirty one suspects arrested over their alleged involvement in a Ksh.5 million gold scam were on Thursday arraigned and released on a Ksh.1.5 million cash bail or a Ksh.3 million bond each.
- 7 Nov 2024 - President William Ruto has called for global collaboration to end hunger and implement policies and programmes that boost food production to feed the rising populations.
- 7 Nov 2024 - US President Joe Biden will make a painful address to the nation Thursday to vow a peaceful transfer of power, as Donald Trump prepared to choose his top team after his crushing election win.
- 7 Nov 2024 - Deputy President Prof. Kithure Kindiki has pledged to address the ongoing cash crunch affecting counties, which has been caused by delays in fund disbursements over the past few months.
- 7 Nov 2024 - Deputy President Prof Kithure Kindiki has commended his two-year tenure as the Interior Cabinet Secretary saying he has silenced bandits in terror-prone areas and rooted out passport cartels in Harambee House.
- 7 Nov 2024 - Outgoing Interior Cabinet Secretary, and new Deputy President, Prof. Kithure Kindiki has spoken out on the rampant abduction and femicide cases that have rocked the country in the recent past.
- 7 Nov 2024 - Outgoing Interior Cabinet Secretary, and new Deputy President, Prof. Kithure Kindiki has spoken out on the rampant abduction and femicide cases that have rocked the country in the recent past.
- 7 Nov 2024 - The United Democratic Alliance Founding Members Association (UFMA) is now calling for the hasty removal of former Deputy President Rigathi Gachagua as an official and member of the ruling party.
- 7 Nov 2024 - The Committee on Delegated Legislation, chaired by Hon. Samuel Chepkong'a (Ainabkoi), has approved a key legal notice aimed at enhancing the road maintenance levy. Members of the Committee today endorsed the Road Maintenance Levy Fund (Imposition of Levy…
- 7 Nov 2024 - The Communications Authority of Kenya (CA) has assured the public that the Kenya Revenue Authority (KRA) will not have access to Kenyans' data amid concerns of breach of privacy laws.