Hotuba ya ushindi wa Tinubu baada ya kupatikana Mshindi wa Uchaguzi Nigeria

  • | VOA Swahili
    224 views
    Mgombea wa Chama tawala Bola Tinubu alitangazwa mshindi wa uchaguzi wa Rais Nigeria mapema  Jumatano, huku wagombea wawili wa upande wa upinzani wanao ongoza tayari wakidai upigaji kura urudiwe katika nchi yenye idadi kubwa  ya watu Afrika. - - - - - #VOASwahili Sauti ya Amerika - Idhaa ya Kiswahili inawafikia zaidi ya watu milioni 100 wanaotembelea tovuti, mitandao ya kijamii, radio na televisheni zetu. Tunawasilisha maudhui kuhusu Afrika Mashariki na Kati kwa nchi takriban 11 huko Afrika na wale walioko ughaibuni na kwingineko duniani. Vipindi vyetu vimejikita katika maudhui mbalimbali ikiwemo habari, vijana, wanawake, siasa, sayansi, teknolojia, afya, biashara, michezo, muziki na burudani na pia tunawashirikisha wasikilizaji wetu.