Huduma za hospitali zarejea Kisii baada ya madaktari kusitisha mgomo wao

  • | Citizen TV
    386 views

    Wagonjwa wameanza kumiminika katika hospitali za umma kaunti ya Kisii baada ya muungano wa madaktari nchini kusitisha mgomo wao na kutia saini mkataba wa makubaliano na serikali hapo jana. Mwanahabari wetu Chrispine Otieno yuko katika hospitali ya rufaa ya Kisii tutathmini halihara.