Huduma za serikali mtandaoni

  • | KBC Video
    10 views

    Wizara ya ardhi na mipango ina idadi kubwa ya huduma zinazotolewa kupitia mtandao wa E-citizen mwaka huu tangu rais Wiliam Ruto alipoagiza taasisi za serikali kuekelezaji malipo yao kupitia mtandao huo. Wizara hiyo ilinakili zaidi ya malipo elfu-700 kwenye mtandao wa E-Citizen tangu kuanzishwa kwa mfumo huo wa malipo na kuibuka taasisi ya kwanza katika kundi la mashirika ya serikali. Kwenye hafla ya utoaji tuzo katika ukumbi wa KICC mashirika mengine ya serikali yalitambuliwa wakati wa maadhimisho ya kwanza ya uzinduzi wa mfumo wa malipo wa E-Citizen kutokana na agizo la rais la kuzitaka taasisi zote za serikali kutekeleza malipo yao kupitia mfumo huo wa kijiditali.

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #kbcchannel1 #news #kbclive