Huenda machifu katika maeneo hatari wakapewa silaha

  • | Citizen TV
    338 views

    Waziri wa Usalama Kipchumba Murkomen ametangaza kuhamishwa Mara moja kwa maafisa wa Usalama kutoka kaunti ya Tana River, baada ya kubainika kwamba baadhi Yao wamesalia kaunti hiyo kwa takriban miaka 14