Huenda wakenya wakahangaika zaidi wanapotafuta huduma za afya

  • | K24 Video
    15 views

    Huenda wakenya wakahangaika zaidi wanapotafuta huduma za afya, haswa wanaotegemea vituo vya afya vya vya kibinafsi na vya kidini, kufuatia changamoto za ufadhili wa afya wa vituo hivi.utafiti uliofanywa na chama cha hospitali za binafsi vijijini na mijini humu nchini (RUPHA) umeashiria pigo kwa vituo hivyo, ikionyesha kuwa 82% ya vituo hivyo, vinapanga kupunguza huduma zao na nyingine kutaka kufunga kabisa.