- 11,012 viewsDuration: 6:59Washirika wa Rais wa zamani wa Jamhuri ya Kidemokrasi ya Congo, Joseph Kabila, wamekataa hukumu ya kifo iliyotolewa na mahakama ya jeshi dhidi ya Kabisa. Nao raia mashariki mwa DRC wameipokea hukumu hiyo kwa mtazamo tofauti. #dirayaduniatv