Hussein Marjan Hussein ataka uchunguzi wa mauaji ya afisa wa tume ya IEBC Abubakar ufanywe

  • | Citizen TV
    639 views

    Afisa Mkuu Wa Tume Ya Uchaguzi Na Mipaka Iebc Hussein Marjan Hussein Ametaka Uchunguzi Wa Kina Kufanywa Kuhusiana Na Mauwaji Ya Afisa Wa Tume Ya Iebc Anayehudumu Kaunti Ya Kilifi.