Huyu anakula vizuri kuliko hata mimi, kuku, ndege' - Mcheza na Nyoka

  • | BBC Swahili
    557 views
    Je umeshawahi kujiuliza wachezaji wa ngoma za asili wanaotumia viumbe mbalimbali kama nyoka wanaishi vipi na viumbe hao na kwa namna gani wanaunda urafiki na wanyama ama wadudu hao Mwandishi wa BBC Veronica Mapunda alikutana na Francis Njewa, mchezaji wa ngoma asilia anayetumia nyoka aina ya chatu katika majukwaa na katika maonesho mbalimbali ya sanaa akielezea kwa kina. 🎥: @bosha_nyanje #bbcswahili #tanzania #ngoma Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw