Ibada ya Hija yaanza leo Ijumaa Makka, Saudi Arabia
Hija ya mwaka huu ambayo inachukuliwa kuwa ni ya kihistoria ni kwa sababu kwa mara ya kwanza kwa zaidi ya muongo mmoja Mahujaji kutoka Yemen, Syria na Iran wameruhusiwa kutekeleza Ibada ya Hija mwaka huu. Hii ni kufuatia mazungumzo kati ya serikali ya Saudi Arabia na nchi zao. Saudi Arabia imetoa tamko kwamba hawataruhusu siasa kuingilia kati ibada ya Hija.
Waumini wa Kiislam wanaendelea kukusanyika kuzunguka eneo la al-Kaaba katika Msikiti Mkuu wa Makka Saudi Arabia.
Hija ni nguzo ya tano ya Kiislam na inaanza tarehe 12, ya mwezi wa Kiislam, Dhul Hajj.
Kwa mujibu wa mafundisho ya Kiislam ni wajibu wa kila Muislam aliyekuwa na uwezo wa kiafya na kifedha kufanya ibada hii walau mara moja katika uhai wake. - Reuters
#hija #haji #mahujaji #waislam #uislam #makka #riadh #saudiarabia #voa #voaswahili
22 Apr 2025
- Kenyan men have been accused of adopting outdated toxic traits.
22 Apr 2025
- Kenya's exports to the US are estimated at around Ksh109.7 billion (784 million USD).
22 Apr 2025
- The DCI revealed the case was escalated to the special unit.
23 Apr 2025
- Several world leaders have announced they will travel to Rome for Pope Francis's funeral on Saturday, which is likely to also draw a huge crowd in the square in front of St Peter's Basilica at the Vatican.
23 Apr 2025
- Prince William will represent Britain's royal family at the funeral of Pope Francis at the Vatican on Saturday, Kensington Palace said Tuesday.
23 Apr 2025
- Orengo speaks language of integrity in a betrayed nation
23 Apr 2025
- Shilling's rally set for dividends season dollar demand test
23 Apr 2025
- MPs launch probe into kidney trade claims
23 Apr 2025
- The elusive dream: Is the world ready for a Pope from 'fast rising' Africa?
23 Apr 2025
- Minty business: Local farmer mints cash from fragrant crop
23 Apr 2025
- CoG: William Ruto a threat to devolution
23 Apr 2025
- ARA seeks to freeze assets linked to Canadian tycoon
23 Apr 2025
- Nepal's digital finance and lessons from our mobile money revolution