Ibada ya Kumuaga Papa Francis kufanyika Holy Family Basillica

  • | Citizen TV
    639 views

    Rais mstaafu Uhuru Kenyatta ni miongoni mwa vongozi waliohudhuria misa hiyo katika kanisa la Holy Family Basilica, pamoja na wanasiasa na maafisa mbalimbali wa serikali. Waumini wa kanisa katoliki wakusanyika kwa ibada hii inaongozwa na mwakilishi wa Papa humu nchini. Waumini waendelea kutoa heshima za mwisho Vatican ambako jeneza la papa francis litafungwa baadaye jioni kabla ya mazishi yake kufanyika kesho Santa Maria Maggiore