Ibrahim Traoré 'Shujaa wa Burkina Faso'

  • | BBC Swahili
    6,752 views
    Inasemekana alikuwa mnyenyekevu lakini mwerevu shuleni, Kapteni Ibrahim Traoré wa Burkina Faso ni afisa wa jeshi ambaye alichukua madaraka kwa mapinduzi katika moja ya makoloni ya zamani ya Ufaransa huko Afrika Magharibi mwaka 2022. - Alimpindua aliyekuwa mshirika wake, Luteni Kanali Paul-Henri Damiba, baada ya kumtuhumu kwa kushindwa kutimiza ahadi yake ya kukomesha uasi wa Waislamu ambao umekikumba Burkina Faso tangu 2015. - Amekuwa akifanya mabadiliko nchini humo na wananchi wakionesha kumkubali. Je ni mabadiliko gani? - Lizy Masinga anaelezea - - - #bbcswahili #burkinafaso #IbrahimTraore #mapinduzi #uongozi #Damiba Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw