Idadi ya waliofariki katika ajali ya Bomet yafika 15 baada ya watu wengine wawili kufariki

  • | Citizen TV
    1,990 views

    Idadi ya waliofariki katika ajali ya Bomet imeongezeka kufikia 15 baada ya watu wengine wawili kufariki wakipokea matibabu. Haya yanajiri huku manusura wakisema kuwa ajali hiyo ingeepukika iwapo miundombinu ibora ingekuwepo katika barabara ya Sotik-Kericho. Na kama anavyoarifu Laura Otieno, waziri wa uchukuzi Davis Chirchir amesema kuwa vifaa vya kupima viwango vya pombe vitarejeshwa ili kuzuia ajali za barabarani.