Idadi ya wanaoambukizwa HIV Garissa imeongezeka

  • | Citizen TV
    273 views

    Kuongezeka kwa maambukizi mapya ya virusi vya ugonjwa wa ukimwi katika kaunti ya Garissa kumewachochea viongozi wa kaunti hiyo kutathmini upya mbinu ya kukabiliana na virusi vya HIV ili kuizuia kuenea zaidi.