Idadi ya watu waliokufa maji nchini yafika watu 257

  • | Citizen TV
    3,613 views

    Idadi ya watu waliofariki kufuatia mafuriko yanayoshuhudiwa nchini imefikia watu mia mbili hamsini na saba baada ya watu kumi na tisa kufariki chini ya saa ishirini na nne zilizopita.