Idara ya DCI yasema watu sita walikamatwa Namanga

  • | Citizen TV
    1,226 views

    Idara ya upepelezi sasa inasema washukiwa sita walikamatwa na kushtakiwa kuhusiana na biashara ya maabara ya kutengeneza dawa za kulevya eneo la Namanga, Kaunti ya Kajiado