Idara ya mahakama yahimizwa kutamatisha kesi kuhusu mazao kisaki

  • | KBC Video
    26 views

    Idara ya mahakama imetakiwa kusikiza na kuamua kesi kuhusu mazao kisaki, ili kuruhusu teknolojia ya kibayolojia kuimarika nchini. Msajili anayesimamia utafiti katika chuo kikuu cha Kenyatta, Richard Oduor, amesema visa vingi vinasababisha wanafunzi wanaosomea masomo ya teknolojia ya kibayolojia kukosa ajira na kuathiri ubunifu katika maswala ya kilimo nchini.

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #kbcchannel1 #news #kbclive