Idara ya mahakama yamwomboleza Monica Kivuti

  • | KBC Video
    24 views

    Vikao vya vya mahakama kote nchini vilisitishwa leo kama njia ya kumuenzi hakimu mwandamizi wa Makadara Monicah Kivuti ambaye alifariki baada ya kupigwa risasi akiwa kazini. Wakiwa wamevalia vitambaa vya zambarau ambavyo walisema watavalia hadi hakimu Kivuti atakapozikwa, maafisa wa idara ya mahakama kote nchini walitoa wito wa kuimarishwa kwa usalama kwa maafisa wote wa mahakama hususan wakiwa kazini.

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #kbcchannel1 #news #kbclive