Idara ya mahakama yatoa wito wa uwekezaji ili kufadhili miradi ya utekelezaji haki za watoto

  • | KBC Video
    2 views

    Idara ya mahakama inatoa wito wa ongezeko la uwekezaji ili kufadhili miradi ya utekelezaji haki za watoto. Wito huu ulisheheni wakati wa maadhimisho ya miaka 35 tangu kuzinduliwa kwa afisi za shirika la umoja wa mataifa kuhusu haki za watoto jijini Nairobi. Jaji mkuu Martha Koome alitoa wito wa juhudi za pamoja za kuimarisha utekelezaji wa sheria ya haki za watoto ya mwaka-2022 katika juhudi za kupiga jeki kamati za mahakama zinazoshughulikia kesi za watoto. Mwanahabari wetu John Kahiro anatuarifu zaidi..

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #kbcchannel1 #news #kbclive