5 Nov 2025 10:51 am | Citizen TV 67 views Duration: 1:13 Vikundi tofauti tofauti 64 katika kaunti ya Kitui vimepokea vifaranga 6,400 kutoka kwa idara ya mifugo ili kuinua biashara zao za ufugaji wa kuku.