Skip to main content
Skip to main content

Idara ya vijana yazindua kituo cha ubunifu chuoni KISE

  • | Citizen TV
    532 views
    Duration: 2:08
    Idara ya vijana nchini inaendelea kupata afueni baada ya taifa la Kenya kushirikina na lile la Azerbaijan kufungua kituo rasmi cha ubunifu kuwezesha vijana kuelimika kiteknolojia na hata kibiashara.