Idara za serikali ya vyama vya ushirika na maendeleo imeandaa kikao

  • | NTV Video
    76 views

    Idara za serikali ya vyama vya ushirika na maendeleo ya MSME, viwanda na biashara wakishirikiana na serikali ya kaunti ya Uasin Gishu waliandaa kikao na zaidi ya vyama vya biashara ndogo ndogo 200 na zaidi ya mashiriki 14 kwa lengo la kushirikisha wadau wote katika kubuni sera na programu zilizoandaliwa kwa mfumo ikolojia wa biashara ndogo ndogo huko Eldoret.

    Subscribe to NTV Kenya channel for latest Kenyan news today and everyday. Get the Kenya news updates, discussions and other exciting shows.

    Website: ntvkenya.co.ke || Paper: Daily Nation || Twitter: @ntvkenya || Facebook: NTV Kenya || Instagram: NTV Kenya