Ifahamu China : Athari ya vikwazo vya marekani

  • | KBC Video
    48 views

    Ushuru mpya uliowekwa na Marekani dhidi ya bidhaa zinazoagizwa kutoka China utavuruga mnyororo wa thamani duniani badala ya kuimarisha uchumi. Wataalam wanasema hatua hii itaathiri Marekani kinyume cha matarajio ya rais Donald Trump.Tathmini kamili ni katika makala yetu kuhusu Ifahamu China.

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #kbcchannel1 #news #kbclive