Ifahamu China: Maabara ya Chengdu

  • | KBC Video
    16 views

    Maabara kuu, al-maarufu "super lab" (SECUF) yaliojengwa na China kwa ajili ya kuchunguza mipaka ya sayansi ya vifaa, yalikamilisha kupitia ukaguzi wa kitaifa Jumatano na kuashiria kumalizika kwa kituo hiki cha kimataifa cha majaribio ya kisasa kinachojumuisha hali ngumu kama vile joto la chini sana, shinikizo la juu sana na maeneo yenye uwanja wa nguvu ya sumaku.

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #kbcchannel1 #news #kbclive