Ifahamu China: Mashindano ya ukweaji mlima wa barafu

  • | KBC Video
    48 views

    Katika makala yetu kuhusu Ifahamu China tunaangazia mashindano ya kukwea mlima wa barafu wa Tianmen mwaka-2025 yalizinduliwa Jumamosi wiki hii katika hifadhi ya kitaifa iliyoko kwenye mji wa Pwani wa Dalian, jimboni Liaoning, Kaskazini Mashariki mwa China. Jumla ya wakweaji-100 mahiri wa mlima huo wa barafu kutoka kote nchini China walishiriki kwenye mashindano hayo.

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #kbcchannel1 #news #kbclive