Baadhi ya viongozi na wasomi kutoka China wamepinga madai kwamba shghuli za taifa hilo barani Afrika ni aina ya ukoloni mamboleo. Wataalamu nchini humo wamesema kuwa mpango ustawishaji miundo mbinu kwa jina Belt and Road Initiative, umeifanya China kuwa mshirika wa maendeleo anayeunga mkono uhuru, ustawi, na uthabiti wa muda mrefu wa nchi za Afrika. Maelezo zaidi katika Makala yetu ya ifahamu China
Connect with KBC Online;
Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN
Follow us on Twitter: https://twitter.com/KBCChannel1
Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1tv
Check our website: https://www.kbc.co.ke/
#KBCchannel1 #Kenya #News