Ifahamu china : Treni Ya Mwendo Wa Kasi

  • | KBC Video
    24 views

    Treni mpya ya mwendo wa kasi nchini China-CR 450 kwa sasa inapitia majaribio makubwa na tathmini ya kina kuiandaa kwa safari yake ya kwanza ya kibiashara. Maelezo zaidi ni katika makala yetu ya Ifahamu China

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #kbcchannel1 #news #kbclive