Ifahamu China: Ufugaji samaki jangwani

  • | KBC Video
    18 views

    Sekta ya ufugaji samaki inastawi kwa haraka huko Xianjiang, ambalo ni eneo la kazkazini magharibi lililo mbali na pwani ya China. Licha ya jua kali katika eneo hilo, ufugaji wa samaki umeimarika kutokana na akiba kubwa ya maji ya chumvi yaliyo chini ya jangwa kubwa la Taklamakan, ambalo ndilo kubwa zaidi nchini China.Maelezo zaidi ni katika makala yetu ya ifahamu China

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #kbcchannel1 #news #kbclive