Ifahamu China : Ukame Mongolia

  • | KBC Video
    14 views

    Katika makala yetu kuhusu Ifahamu China tunaangazia Mongolia ya ndani nchini China ambayo imechukua hatua za kisasa kupambana na jangwa kwa kutumia teknolojia ya hali ya juu. Kuanzia matumizi ya droni hadi matumizi ya roboti za kupanda miti, juhudi hizi zinaonyesha njia mpya ya kulinda mazingira.

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #kbcchannel1 #news #kbclive