Ifahamu China: Usafiri bila visa nchini China

  • | KBC Video
    191 views

    Hatua ya China ya kupanua sera yake ya kuondoa visa kwa wasafiri wa mpito imechochea ongezeko la usafiri duniani na kugeuza usafiri wa China kuwa mojawapo wa shughuli maarufu zaidi ulimwenguni. China imetangaza kupunguzwa kwa sera yake kuhuau visa za mpito ikiwa ni juhudi za kuimarisha uwazi na mahusiano kati ya watu.

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #kbcchannel1 #news #kbclive