Skip to main content
Skip to main content

Ifahamu China | Uwanja wa Ndege Guangzhou

  • | KBC Video
    219 views
    Duration: 3:06
    Maegesho matatu mapya ya ndege katika Uwanja Kimataifa wa Ndege wa wa Guangzhou Baiyun yameanza kufanya kazi rasmi, kukiwa pia na kituo kipya cha usafiri kinachounganisha uchukuzi wa angani, barabara na reli kwa urahisi. Mradi huu mkubwa unalenga kuboresha ufanisi wa usafiri kati ya Guangdong-Hong Kong-Macao Greater Bay, na kufanya safari kuwa za haraka na kubuni mazingira mwafaka kwa abiria.Maelezo zaidi katika Makala ya ifahamu China. Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKNc Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/ #kbcchannel1 #news #kbclive